『Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.』のカバーアート

Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.

Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Matukio yanayoendelea ndani ya chama cha UDA ni dhihirisho tosha la umbali wa safari yetu kuwa na vyama vya kisiasa vyenye sera na msimamo. Vyetu ni vyama vinavyotumiwa tu kuwa daraja la kuingia mamlakani na baada ya uchaguzi, kudondoshwa kama kaa moto.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません