『MTA S02E04 - KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO PART 1』のカバーアート

MTA S02E04 - KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO PART 1

MTA S02E04 - KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO PART 1

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO

Kila mtu anazo rasilimali za ndani zinazomfanya akabiliane na changamoto mbali mbali katika maisha yake, ikiwemo msongo wa mawazo. Hata hivyo kwa sababu mbalimbali zinaweza kuwa butu kiasi mtu akashindwa kukabiliana na changamoto kwa njia nzuri hatimaye akajidhuru badala ya kujisaidia. Mjadala wetu utajikita kwenye namna ya kujenga na kuimarisha rasiliamali hizi.

BUILDING YOUR CHILD'S INTERNAL RESOURCES

Everyone has internal resources that make him face various challenges in his life, including stress. However, for various reasons, it can be quite blunt and a person fails to face the challenges in a good way and ends up harming himself instead of helping himself. Our discussion will focus on how to build and strengthen these resources.

まだレビューはありません