『Kuvuma kwa Utalii Krisimasi na Mwaka Mpya | Uchumi na Biashara Podcast』のカバーアート

Kuvuma kwa Utalii Krisimasi na Mwaka Mpya | Uchumi na Biashara Podcast

Kuvuma kwa Utalii Krisimasi na Mwaka Mpya | Uchumi na Biashara Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Huku msimu wa Krimasi na Mwaka Mpya ukikaribia Sekta ya Utalii inategemea sana msimu huu kuimarika kutokana na watalii wa mataifa ya kigeni wanaolenga kuzuru maeneo mbalimbali ya kitalii nchini. Mojawapo ya maeneo hayo ni eneo la Pwani hususani Kaunti ya Mombasa. Je, wafanyabiashara hasa wa hoteli za kitalii wamejiandaa vipi msimu huu? Robert Menza amezungumza na Josephat Iha ambaye ni Meneja wa Mauzo katika Mkahawa wa Massai Beach.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません