『Kumbukumbu ya Hatua za Kinidhamu na Maswali ya Hatima』のカバーアート

Kumbukumbu ya Hatua za Kinidhamu na Maswali ya Hatima

Kumbukumbu ya Hatua za Kinidhamu na Maswali ya Hatima

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Chama cha ODM kimeendelea kutoa msimamo kinzani kuhusu hatua ya viongozi wake wakuu kujumuishwa serikalini, na kuibua kumbukumbu ya hatua za kinidhamu zilizochukuliwa dhidi ya Wabunge wake waliotangaza msimamo wao wa kushirikiana na serikali baada ya Uchaguzi Mkuu uliopita. Je, viongozi hawa wakuu wa chama hiki watachukuliwa hatua zozote. Kama sivyo, basi tusihadaiwe zaidi.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません