『Kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari ni Kudumisha Demokrasia ya Kenya』のカバーアート

Kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari ni Kudumisha Demokrasia ya Kenya

Kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari ni Kudumisha Demokrasia ya Kenya

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Kukamatwa kwa mwanahabari mtajika Macharia Gaitho katika mazingira ya kudhalilisha na kuhujumu haki za mtu, siku moja tu baada ya mwanahabari wa Kameme kufyatuliwa risasi na polisi huko Nakuru alipokuwa akiangazia maandamano dhidi ya serikali kunaonesha kuchipuka tena kwa majaribio ya kudunisha uhuru wa vyombo vya habari unaolindwa Kikatiba. Kamwe tusikubali hilo kufanyika, uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari ni mhimili muhimu mno wa demokrasia ya Kenya.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません