『Kamwe tusiruhusu wahuni kurejea katika mitaa yetu, na siasa zetu.』のカバーアート

Kamwe tusiruhusu wahuni kurejea katika mitaa yetu, na siasa zetu.

Kamwe tusiruhusu wahuni kurejea katika mitaa yetu, na siasa zetu.

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Maandamano dhidi ya serikali yameingiliwa na wahuni ambao nia yao ni kupora, kujeruhi na hata kuua na kuharibu. Jumatano wiki hii, wahuni pia wametatiza mkutano wa Azimio, wakisababisha purukushani na majeraha kwa wanahabari. Ni wakati wahuni hawa na wafadhili wao wakabiliwe vilivyo.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません