『Hoja za Wahariri Podcast: Nchi bila umeme; ni njama?』のカバーアート

Hoja za Wahariri Podcast: Nchi bila umeme; ni njama?

Hoja za Wahariri Podcast: Nchi bila umeme; ni njama?

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kupotea kwa umeme nchini Kenya kwa takribani siku tatu kumechochea ghadhabu. Baadhi wanahisi kwamba ni njama ya wafanyakazi fulani wa kampuni za umeme kusababisha hali hiyo maksudi. Kwamba huenda wanalalamikia mageuzi ya usimamizi katika Kenya Power, ama ni kero la wasambazaji wa kawi kulalamikia viwango vipya vya ada za umeme ambavyo ni vya chini, na kuishia wao kupata hasara. Aidha, tunajadili kujiuzulu kwa Mshirikishi wa Utawala, Bonde la Ufa, George Natembeya ili kulenga kiti cha kisiasa. Ali Manzu anawashirikisha wahariri, Charles Otieno na Kennedy Wandera katika kuyajadili masuala haya.

Hoja za Wahariri Podcast: Nchi bila umeme; ni njama?に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。