『Heshimu Wanahabari na Taaluma ya Uanahabari』のカバーアート

Heshimu Wanahabari na Taaluma ya Uanahabari

Heshimu Wanahabari na Taaluma ya Uanahabari

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Maandamano yaliyofanywa na wanahabari nchini hayashinikizi lolote nje ya Katiba ya nchi. Yanashinikiza tu taaluma ya uanahabari kuheshimiwa na haki za wanahabari kulindwa kama ilivyo katika sheria za nchi. Wanahabari sio wahalifu, wao ni mwito wa kuitumikia nchi na wananchi wake.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません