『HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''』のカバーアート

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

著者: Judith Isack
無料で聴く

このコンテンツについて

Huu ni mwanzo wa mfululizo wa hadithi za kiswahili zitakazomsaidia mtoto kuwa na uwezo mzuri wa kufanya vizuri darasani kwa kumuongezea uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu, hali ya udadisi na uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mbalimbali.judithisack2022 文学・フィクション
エピソード
  • MKE MKULIMA NA MUME MWINDAJI
    2022/10/23

    Ukimaliza kusikiliza hadithi hii naomba niambie vitu hivi

    -Ni sehemu gani ya hadithi hii imekuvutia zaidi?

    -Ni nani umempenda zaidi kwenye hadithi hii kati ya mume mwindaji, mke mkulima au Sungura?

    -unahisi kwanini hadithi hiiilitungwa, ungekuwa wewe ndo umeitunga hadithi hii je ungeimalizaje?

    INSTAGRAM @simulikahadithiya maisha EMAIL simulikaorganization@gmail.com

    続きを読む 一部表示
    22 分

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。