『Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga』のカバーアート

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wanga

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Allan Wanga anayewania kiti cha urais katika Shirikisho la soka la Kenya [FKF], alikuwa mchezaji wa timu ya Kitaifa ya Soka Harambee Stars. Wanga anaelezea mikakati aliyoweka katika kulenga kuwa Rais wa FKF. Katika mazungumzo na wanahabari wetu Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Wanga ambaye ni mfanyakazi katika Kaunti ya Kakamega anasema Kenya inahitajikiongozi ambaye ana ufahamu mkubwa wa masuala ya soka.

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Nina tajriba kuwa Rais wa FKF-Allan Wangaに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。