『Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure』のカバーアート

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obure

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Afisa Mkuu Mtendaji wa Klabu ya Mathare United, Jakton Obure amesema watasalia kwenye ligi kuu ya FKF msimu ujao licha ya kushushwa daraja baada ya kukosa kushiriki mechi tatu mfululizo. Katika mahojiano na Ali Hassan Kauleni na Walter Kinjo, Obure anasema kwa mujibu wa sheria za FIFA ni kwamba kamati ya muda katika shirikisho la soka FKF haina uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu ligi kuu ya soka FKF.

Gumzo na Mwanaspoti: Bado tuko kwenye ligi kuu ya FKF - Jakton Obureに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。