『Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli』のカバーアート

Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheli

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kenya inapochangamkia Mtalaa wa Umilisi (CBC), mwanafunzi mwenye mahitaji spesheli anashughulikiwaje?Mwalimu Frank Otieno amezumgumza na Daktari Festo Ndonye, ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Moi, Idara ya Elimu Spesheli na Eva Nabutuni, mwandishi wa kitabu cha kufunza walimu na wazazi kuhusu elimu ya wenye mahitaji spesheli.

Elimu Podcast: Wanafunzi Wenye Mahitaji Spesheliに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。