『Elimu Podcast; Baraza la Kiswahili; Prof. Kandagor Mosol-CHAKITA』のカバーアート

Elimu Podcast; Baraza la Kiswahili; Prof. Kandagor Mosol-CHAKITA

Elimu Podcast; Baraza la Kiswahili; Prof. Kandagor Mosol-CHAKITA

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Harakati za kuhakikisha kuwa Kenya inakuwa Baraza la Kiswahili zimeshika kasi. Wizara ya Michezo na Utamaduni imeandaa warsha (tarehe 11 na 12 Novemba, 2021) jijini Nairobi na kuwashirikisha waandishi, wahadhiri na wawakilishi wa vyama vya Kiswahili kikiwamo CHAKITA, ili kujadili suala hili. Sikiliza podcast hii ambapo Geoffrey Mung'ou anamhoji Profesa Kandagor Mosol, Mwenyekiti wa CHAKITA vilevile mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Moi.

Elimu Podcast; Baraza la Kiswahili; Prof. Kandagor Mosol-CHAKITAに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。