『Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa』のカバーアート

Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa

Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Bunge la Kitaifa linaanza kuwapiga msasa Mawaziri walioteuliwa na Rais William Ruto, katika Baraza jipya alilotangaza. Hii ni fursa adimu kwa Bunge kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kuonesha kuwa ni taasisi huru na inayojisimamia bila kushurutishwa na Serikali tendaji. Hii ni fursa ya Bunge kusafisha jina lake ambalo limekuwa si lolote la kujivunia.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません