『Baraza la usalama wa chakula latoa vidokezo jinsi ya kuandaa vyakula kwa usalama ili kuepukana na magonjwa』のカバーアート

Baraza la usalama wa chakula latoa vidokezo jinsi ya kuandaa vyakula kwa usalama ili kuepukana na magonjwa

Baraza la usalama wa chakula latoa vidokezo jinsi ya kuandaa vyakula kwa usalama ili kuepukana na magonjwa

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kuna mambo mengi ya kushughulikia wakati huu wa mwaka, na milo yetu inaweza kuja na upande wa magonjwa. Baraza la Habari za Usalama wa Chakula la Australia limetoa vidokezo vyake bora jinsi ya kufurahia msimu kwa usalama - kwa lengo la kupunguza zaidi ya kesi milioni nne na laki tano za sumu ya chakula kila mwaka.
まだレビューはありません