『Amedeus Live Podcast』のカバーアート

Amedeus Live Podcast

Amedeus Live Podcast

著者: Amedeus D. Raphael
無料で聴く

このコンテンツについて

Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo. Maudhui ya Podcast hii: Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani, Mtazamo wa Mkristo, Mapitio ya Vitabu,Amedeus D. Raphael キリスト教 スピリチュアリティ 聖職・福音主義
エピソード
  • Tumetokana na Mungu
    2024/04/01
    Mungu ni chanzo chetu, tumezaliwa neno lake, tumetokana na yeye. Ametuzaa kwa mapenzi yak, sisi na kazi ya mikono yake, limbuko la kwanza la viumbe wake. Tuna uzima wa aina yake, tuna asili yake na tumejazwa kwa Roho wake.
    続きを読む 一部表示
    16 分
  • Msingi wa Imani ya Kikristo
    2024/04/01
    Kristo ndani yako nfio maana halisi na mjumuisho mzima wa Imani ya Kristo. ukristo sio dini, ni uhalisia uhusiano wa Mungu na mwanadamu. Ni maisha halisi ya Mungu ndani ya mwanadamu. Ni Uungu katika mwili.
    続きを読む 一部表示
    18 分
  • Usijitahidi Kushinda Tena
    2024/04/01
    Usijitahidi kuwa kile ambacho tayari upo, tambua wewe ni mshindi, na umezaliwa kwenye mshindi na upaswa kudhihirisha ushindi kila siku. Ni jadi yako, Mila Yako, asili Yako kuishi na kutembea katika ushindi.
    続きを読む 一部表示
    12 分

Amedeus Live Podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。