『AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo』のカバーアート

AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo

AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

Send us Fan Mail

Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wetu kuhusu AI na Ubunifu wa Injili, tunazungumza na Innocent Mwagilo — Music Producer, Songwriter na Sound Engineer.

Katika mazungumzo haya tunachunguza namna Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kubadilisha music production na ubunifu kwa ujumla. Je, AI ni tool nyingine tu kama tulivyozoea kutumia studio software, au imeanza kuchukua nafasi ya creativity ya mwanadamu?

Hili si mjadala wa kupinga au kuunga mkono AI.

Ni mazungumzo ya kutafuta hekima, kuelewa mabadiliko yanayotokea, na kujiuliza jinsi Wakristo wanavyoweza kuitumia teknolojia kwa namna inayomheshimu Mungu.

🎙️ Guest: Innocent Mwagilo
Music Producer | Songwriter | Sound Engineer

Karibu Tikvah Podcast.

adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません