『6. Yesu Kristo Alikuja kwa maji, kwa damu, na kwa Roho (1 Yohana 5:1-12)』のカバーアート

6. Yesu Kristo Alikuja kwa maji, kwa damu, na kwa Roho (1 Yohana 5:1-12)

6. Yesu Kristo Alikuja kwa maji, kwa damu, na kwa Roho (1 Yohana 5:1-12)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Je, Yesu alikuja kwa maji? Ndiyo, alikuja. Alikuja kwa ubatizo Wake. Maji ni ubatizo wa Yesu uliotolewa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ulikuwa ubatizo wa ukombozi ambao kupitia huo aliondoa dhambi zote za ulimwengu.
Je, Yesu alikuja kwa damu? Ndiyo, alikuja. Alikuja katika mwili wa mwanadamu na akabatizwa ili kuondoa dhambi zote za ulimwengu, kisha akalipa mshahara wa dhambi kwa kumwaga damu juu ya msalaba. Yesu alikuja kwa damu.
Je, Yesu alikuja kwa Roho? Ndiyo, alikuja. Yesu alikuwa Mungu(God), lakini Yeye alikuja kama Roho katika mwili ili kuwa Mwokozi wa wenye dhambi.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

まだレビューはありません